click below
click below
Normal Size Small Size show me how
swahili meeting
22jan2026
| Term | Definition |
|---|---|
| dola themanini | 80 dollars |
| ni chini bei ya kawaida | the price is lower than usual |
| kwa kawaida ninafanya mazoezi siku tatu hadi tano, inategemea | usually, i will exercise 3 to 5 days, it depends on |
| angalau | at least |
| kisikizi | ear pod, ear phone |
| leo, niliamka mapema kufanya mazoezi katika ukumbi wa mazoezi wa CDC | today, i woke up early to exercise at the CDC gym |
| kwenye au katika? | kwenya for improper nouns, katika works for all -- "in" |
| nilipoteza kisikizi yangu kutoka saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku na nilikuwa na mikutano mingi | i worked from 9am until 9pm and i was in many meetings |
| karibia ya ramadan | its almost ramadan |
| amefanya kazi kama punda | he/she works like a donkey |
| amefanya kazi kama mbwa | he/she works like a dog |
| nilimaliza kazi nyingi na niliongea na mama, rafiki, na shemeji yangu kwa simu | i got a lot of work done and i talked with my mother, friend, and brother-in-law on the phone |